Zaburi 9:3 - Swahili Revised Union Version Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati ulipotokea, maadui zangu walirudi nyuma, walijikwaa na kuangamia. Biblia Habari Njema - BHND Wakati ulipotokea, maadui zangu walirudi nyuma, walijikwaa na kuangamia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati ulipotokea, maadui zangu walirudi nyuma, walijikwaa na kuangamia. Neno: Bibilia Takatifu Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako. Neno: Maandiko Matakatifu Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako. BIBLIA KISWAHILI Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako. |
watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake;
Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.