Eliya akatwaa mawe kumi na mawili, kwa hesabu ya makabila ya wana wa Yakobo, aliyejiliwa na neno la BWANA na kuambiwa, Jina lako litakuwa Israeli.
Yoshua 4:2 - Swahili Revised Union Version Haya, twaeni watu wanaume kumi na wawili katika hao watu, kila kabila mtu mmoja, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa hao Waisraeli, yaani mtu mmoja kutoka kila kabila, Biblia Habari Njema - BHND “Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa hao Waisraeli, yaani mtu mmoja kutoka kila kabila, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa hao Waisraeli, yaani mtu mmoja kutoka kila kabila, Neno: Bibilia Takatifu “Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja, Neno: Maandiko Matakatifu “Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja, BIBLIA KISWAHILI Haya, twaeni watu wanaume kumi na wawili katika hao watu, kila kabila mtu mmoja, |
Eliya akatwaa mawe kumi na mawili, kwa hesabu ya makabila ya wana wa Yakobo, aliyejiliwa na neno la BWANA na kuambiwa, Jina lako litakuwa Israeli.
Tuma watu, ili waende wakaipeleleze nchi ya Kanaani, niwapayo wana wa Israeli; katika kabila la baba zao mtamtuma mtu mmoja, kila mtu na awe mkuu kati yao.
kisha uwaamrishe, kusema, Twaeni mawe kumi na mawili, hapo katikati ya Yordani, mahali hapo miguu ya hao makuhani iliposimama imara, mwende na mawe hayo, mkayaweke mahali pale kambini ambapo mtalala usiku huu.