Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 4:1 - Swahili Revised Union Version

1 Ikawa, hapo hilo taifa zima lilipokuwa limekwisha vuka Yordani, ndipo BWANA akanena na Yoshua, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, bwana akamwambia Yoshua,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Ikawa, hapo hilo taifa zima lilipokuwa limekwisha vuka Yordani, ndipo BWANA akanena na Yoshua, akamwambia,

Tazama sura Nakili

Yoshua 4:1
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na iwe, siku mtakayovuka Yordani kwenda nchi akupayo BWANA, Mungu wako, ujisimamishie mawe makubwa, ukayatalize matalizo,

Nanyi mliuvuka Yordani, mkafika Yeriko; nao watu wa Yeriko wakapigana nanyi, Mwamori, na Mperizi, na Mkanaani, na Mhiti, na Mgirgashi, na Mhivi, na Myebusi; nami nikawatia mikononi mwenu.

Na hao makuhani waliolichukua sanduku la Agano la BWANA wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Yordani; Israeli wote wakavuka katika nchi kavu, hadi taifa lile lote likaisha kuvuka Yordani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo