hamkuwaacha hao ndugu zenu siku hizi nyingi hata hivi leo, lakini mmeyashika maagizo ya amri ya BWANA, Mungu wenu.
Yoshua 22:2 - Swahili Revised Union Version naye akawaambia, Ninyi mmeyafuata hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Biblia Habari Njema - BHND akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Neno: Bibilia Takatifu naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa Mwenyezi Mungu aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. Neno: Maandiko Matakatifu naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa bwana aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. BIBLIA KISWAHILI naye akawaambia, Ninyi mmeyafuata hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi; |
hamkuwaacha hao ndugu zenu siku hizi nyingi hata hivi leo, lakini mmeyashika maagizo ya amri ya BWANA, Mungu wenu.