Yoshua 19:7 - Swahili Revised Union Version Aini, Rimoni, Etheri na Ashani; miji minne, pamoja na vijiji vyake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pia kulikuwa na miji ya En-rimoni, Etheri, na Ashani. Jumla ya miji waliyopewa ni minne pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema - BHND Pia kulikuwa na miji ya En-rimoni, Etheri, na Ashani. Jumla ya miji waliyopewa ni minne pamoja na vijiji vyake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pia kulikuwa na miji ya En-rimoni, Etheri, na Ashani. Jumla ya miji waliyopewa ni minne pamoja na vijiji vyake. Neno: Bibilia Takatifu Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake, Neno: Maandiko Matakatifu Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake, BIBLIA KISWAHILI Aini, Rimoni, Etheri na Ashani; miji minne, pamoja na vijiji vyake; |
Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni; miji hiyo yote ni miji ishirini na tisa, pamoja na vijiji vyake.
tena vijiji vyote vilivyozunguka miji hiyo kotekote mpaka Baalath-beeri, Rama wa Kusini. Huo ndio urithi wa kabila la wana wa Simeoni kwa kuandama jamaa zao.