na huko, Beth-markabothi, na Hasar-susimu, na Bethbiri, na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao hadi wakati wa kutawala kwa Daudi.
Yoshua 19:5 - Swahili Revised Union Version Siklagi, Beth-markabothi, Hasarsusa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siklagi, Beth-markabothi, Hasar-susa, Biblia Habari Njema - BHND Siklagi, Beth-markabothi, Hasar-susa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siklagi, Beth-markabothi, Hasar-susa, Neno: Bibilia Takatifu Siklagi, Beth-Markabothi, Hasar-Susa, Neno: Maandiko Matakatifu Siklagi, Beth-Markabothi, Hasar-Susa, BIBLIA KISWAHILI Siklagi, Beth-markabothi, Hasarsusa; |
na huko, Beth-markabothi, na Hasar-susimu, na Bethbiri, na Shaaraimu. Hiyo ndiyo miji yao hadi wakati wa kutawala kwa Daudi.
Ndipo Akishi akampa Siklagi siku ile; kwa sababu hiyo huo mji wa Siklagi ni mali ya wafalme wa Yuda hata hivi leo.
Ikawa, Daudi na watu wake walipokuwa wamefika Siklagi siku ya tatu, hao Waamaleki walikuwa wameshambulia Negebu, na Siklagi, nao wameupiga Siklagi, na kuuchoma moto;