Wakakamatana, kila mtu akimshika mwenziwe kichwa chake, na kutia upanga wake katika ubavu wa mwenzake; wakaanguka pamoja; hata mahali pale pakaitwa Helkath-hasurimu, napo ni katika Gibeoni.
Yoshua 19:25 - Swahili Revised Union Version Na mpaka wao ulikuwa ni Helkathi, Hali, Beteni, Akishafu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Eneo la nchi yao lilikuwa na miji ya Helkathi, Hali, Beteni, Akshafi, Biblia Habari Njema - BHND Eneo la nchi yao lilikuwa na miji ya Helkathi, Hali, Beteni, Akshafi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Eneo la nchi yao lilikuwa na miji ya Helkathi, Hali, Beteni, Akshafi, Neno: Bibilia Takatifu Eneo lao lilijumuisha: Helkathi, Hali, Beteni, Akshafu, Neno: Maandiko Matakatifu Eneo lao lilijumuisha: Helkathi, Hali, Beteni, Akishafu, BIBLIA KISWAHILI Na mpaka wao ulikuwa ni Helkathi, Hali, Beteni, Akishafu; |
Wakakamatana, kila mtu akimshika mwenziwe kichwa chake, na kutia upanga wake katika ubavu wa mwenzake; wakaanguka pamoja; hata mahali pale pakaitwa Helkath-hasurimu, napo ni katika Gibeoni.
Kisha ikawa, hapo huyo Yabini, mfalme wa Hazori, aliposikia habari ya mambo hayo, akatuma mjumbe aende kwa Yobabu, mfalme wa Madoni, na kwa mfalme wa Shimroni, na mfalme wa Akshafu,
Kisha sehemu ya tano ilitokea kwa ajili ya kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao.
Alameleki, Amadi na Mishali; nao ukafika hadi Karmeli upande wa magharibi, tena ulifikia hadi Shihor-libnathi;
na Helkathi pamoja na mbuga zake za malisho, na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.