Na jamaa za Kiriath-Yearimu; Waithri, na Waputhi, na Washumathi, na Wamishrai; katika hao walitoka Wasorathi, na Waeshtaoli.
Yoshua 15:33 - Swahili Revised Union Version Katika nchi ya Shefela, Eshtaoli, Sora, Ashna, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Miji iliyokuwa kwenye tambarare ilikuwa: Eshtaoli, Sora, Ashna, Biblia Habari Njema - BHND Miji iliyokuwa kwenye tambarare ilikuwa: Eshtaoli, Sora, Ashna, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Miji iliyokuwa kwenye tambarare ilikuwa: Eshtaoli, Sora, Ashna, Neno: Bibilia Takatifu Katika Shefela: Eshtaoli, Sora, Ashna, Neno: Maandiko Matakatifu Kwenye shefela ya magharibi: Eshtaoli, Sora, Ashna, BIBLIA KISWAHILI Katika nchi ya Shefela, Eshtaoli, Sora, Ashna, |
Na jamaa za Kiriath-Yearimu; Waithri, na Waputhi, na Washumathi, na Wamishrai; katika hao walitoka Wasorathi, na Waeshtaoli.
Wakafika bonde la Eshkoli, na huko wakakata tawi lenye kishada kimoja cha zabibu, wakalichukua kwa mti kati ya watu wawili; wakaleta makomamanga pia, na tini.
Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni; miji hiyo yote ni miji ishirini na tisa, pamoja na vijiji vyake.
Palikuwa na mtu mmoja wa Sora, wa jamaa ya Wadani; jina lake akiitwa Manoa; na mkewe alikuwa tasa, hakuzaa watoto.
Ndipo ndugu zake, na watu wote wa nyumba ya baba yake wakateremka, wakamtwaa wakamchukua, wakamzika kati ya Sora na Eshtaoli, katika kiwanja cha kuzikia cha Manoa baba yake. Naye alikuwa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka ishirini.