Basi hawa ndio wale waliomjia Daudi huko Siklagi, alipokuwa akijificha kwa ajili ya Sauli, mwana wa Kishi; nao walikuwamo miongoni mwa wale mashujaa, waliomsaidia vitani.
Yoshua 15:31 - Swahili Revised Union Version Siklagi, Madmana, Sansana; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siklagi, Madmana, Sansana, Biblia Habari Njema - BHND Siklagi, Madmana, Sansana, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siklagi, Madmana, Sansana, Neno: Bibilia Takatifu Siklagi, Madmana, Sansana, Neno: Maandiko Matakatifu Siklagi, Madmana, Sansana, BIBLIA KISWAHILI Siklagi, Madmana, Sansana; |
Basi hawa ndio wale waliomjia Daudi huko Siklagi, alipokuwa akijificha kwa ajili ya Sauli, mwana wa Kishi; nao walikuwamo miongoni mwa wale mashujaa, waliomsaidia vitani.
Tena akamzaa Shaafu, babaye Madmana; na Sheva babaye Makbena; na babaye Gibea; naye binti Kalebu alikuwa Aksa.
Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni; miji hiyo yote ni miji ishirini na tisa, pamoja na vijiji vyake.
Ndipo Akishi akampa Siklagi siku ile; kwa sababu hiyo huo mji wa Siklagi ni mali ya wafalme wa Yuda hata hivi leo.
Ikawa, Daudi na watu wake walipokuwa wamefika Siklagi siku ya tatu, hao Waamaleki walikuwa wameshambulia Negebu, na Siklagi, nao wameupiga Siklagi, na kuuchoma moto;