Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee BWANA, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
Yoshua 15:20 - Swahili Revised Union Version Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Yuda sawasawa na jamaa zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hii ndiyo nchi waliyopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zake. Biblia Habari Njema - BHND Hii ndiyo nchi waliyopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hii ndiyo nchi waliyopewa watu wa kabila la Yuda kulingana na koo zake. Neno: Bibilia Takatifu Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, kufuatana na koo zao: Neno: Maandiko Matakatifu Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo: BIBLIA KISWAHILI Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Yuda sawasawa na jamaa zao. |
Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee BWANA, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
Huyo mwanamke akasema, Nipe baraka; kwa kuwa umeniweka katika nchi ya kusini, unipe na chemchemi za maji pia. Ndipo akampa chemchemi za maji ya upande wa juu, na chemchemi za maji yaupande wa chini.
Miji ya mwisho ya kabila la wana wa Yuda upande wa kuelekea mpaka wa Edomu katika nchi ya Negebu ilikuwa ni Kabseeli, Ederi, Yaguri;