Basi mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda zake, akafika Tirza; naye alipofika kizingitini kwa nyumba, huyo kijana akafa.
Yoshua 12:24 - Swahili Revised Union Version na mfalme wa Tirza, mmoja; wafalme hao wote walikuwa ni thelathini na mmoja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mfalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni thelathini na mmoja. Biblia Habari Njema - BHND mfalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni thelathini na mmoja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mfalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni thelathini na mmoja. Neno: Bibilia Takatifu mfalme wa Tirsa; jumla ya wafalme thelathini na mmoja (31). BIBLIA KISWAHILI na mfalme wa Tirza, mmoja; wafalme hao wote walikuwa ni thelathini na mmoja. |
Basi mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda zake, akafika Tirza; naye alipofika kizingitini kwa nyumba, huyo kijana akafa.
Katika mwaka wa thelathini na moja wa Asa, mfalme wa Yuda, Omri alianza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka kumi na miwili. Akatawala huko Tirza miaka sita.
Menahemu mwana wa Gadi akapanda kutoka Tirza, akaja Samaria, akampiga Shalumu mwana wa Yabeshi huko Samaria, akamwua, akatawala mahali pake.
Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; akatawala miaka thelathini na mmoja huko Yerusalemu.
Basi wale watoto wakaingia wakaimiliki nchi, nawe ukawatiisha wenyeji wa nchi mbele yao, ndio Wakanaani, ukawatia mikononi mwao, pamoja na wafalme wao, na watu wa nchi, wawatende kama wapendavyo.
Na wafalme wao atakutilia mkononi mwako, nawe utalipoteza jina lao litoke chini ya mbingu; hapana mtu atakayeweza kusimama mbele yako, hata utakapokwisha kuwaangamiza.