Kisha akaondoka huko akaenda mpaka mlima ulio upande wa mashariki wa Betheli, akaipiga hema yake; Betheli ilikuwa upande wa magharibi, na Ai upande wa mashariki, akamjengea BWANA madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA.
Yoshua 12:16 - Swahili Revised Union Version mfalme wa Makeda, mmoja; na mfalme wa Betheli, mmoja; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mfalme wa Makeda, mfalme wa Betheli, Biblia Habari Njema - BHND mfalme wa Makeda, mfalme wa Betheli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mfalme wa Makeda, mfalme wa Betheli, Neno: Bibilia Takatifu mfalme wa Makeda; mfalme wa Betheli; BIBLIA KISWAHILI mfalme wa Makeda, mmoja; na mfalme wa Betheli, mmoja; |
Kisha akaondoka huko akaenda mpaka mlima ulio upande wa mashariki wa Betheli, akaipiga hema yake; Betheli ilikuwa upande wa magharibi, na Ai upande wa mashariki, akamjengea BWANA madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA.
Siku hiyo Yoshua akautwaa mji wa Makeda, akaupiga kwa makali ya upanga, na mfalme wake; akawaangamiza kabisa na wote pia waliokuwamo ndani yake, hakumwacha hata mmoja aliyesalia; naye akamfanyia huyo mfalme wa Makeda kama alivyomfanyia huyo mfalme wa Yeriko.
Hakusalia mtu yeyote ndani ya Ai, au katika Betheli, asiyetoka nje kuwafuatia Israeli; wakauacha mji wazi na kuwafuatia Israeli.
Nyumba ya Yusufu nayo, wao nao walikwea kwenda juu ya Betheli; naye BWANA alikuwa pamoja nao.