Mwanzo 28:19 - Swahili Revised Union Version19 Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Akapaita mahali hapo Betheli; lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Akapaita mahali hapo Betheli; lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Akapaita mahali hapo Betheli; lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mahali pale akapaita Betheli, ingawa mji ule hapo awali uliitwa Luzu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Mahali pale akapaita Betheli, ingawa mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu. Tazama sura |