tangu kilima cha Halaki, kiendeleacho upande wa Seiri, mpaka Baal-gadi katika bonde la Lebanoni chini ya kilima cha Hermoni; naye akawatwaa wafalme wao wote, akawapiga, na kuwaua.
Yoshua 11:18 - Swahili Revised Union Version Yoshua akapiga vita siku nyingi na wafalme hao wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu. Biblia Habari Njema - BHND Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu. Neno: Bibilia Takatifu Yoshua akapigana vita dhidi ya wafalme hawa wote kwa muda mrefu. Neno: Maandiko Matakatifu Yoshua akapigana vita dhidi ya wafalme hawa wote kwa muda mrefu. BIBLIA KISWAHILI Yoshua akapigana vita siku nyingi na wafalme hao wote. |
tangu kilima cha Halaki, kiendeleacho upande wa Seiri, mpaka Baal-gadi katika bonde la Lebanoni chini ya kilima cha Hermoni; naye akawatwaa wafalme wao wote, akawapiga, na kuwaua.
Haukuwapo mji hata mmoja uliofanya amani na wana wa Israeli, isipokuwa ni wale Wahivi waliokaa Gibeoni; wakaitwaa yote kwa vita.
Basi Yoshua akaitwaa hiyo nchi yote, sawasawa na hayo yote BWANA aliyokuwa amemwambia Musa; Yoshua naye akawapa Israeli kuwa ni urithi wao, sawasawa na walivyogawanyikana kwa makabila yao. Kisha nchi ikatulia isiwe na vita tena.