Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
Yohana 9:36 - Swahili Revised Union Version Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.” Biblia Habari Njema - BHND Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.” Neno: Bibilia Takatifu Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” Neno: Maandiko Matakatifu Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” BIBLIA KISWAHILI Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? |
Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
Yesu aligeuka, akawaona wakimfuata, akawaambia, Mnatafuta nini? Wakamwambia, Rabi, (maana yake, Mwalimu), unakaa wapi?
Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri?