Na wakuu wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri ya kwamba mtu akimjua alipo, alete habari, ili wapate kumkamata.
Yohana 9:13 - Swahili Revised Union Version Basi wakampeleka kwa Mafarisayo yule aliyekuwa kipofu zamani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo. Biblia Habari Njema - BHND Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo. Neno: Bibilia Takatifu Wakamleta yule mtu aliyekuwa kipofu hapo awali kwa Mafarisayo. Neno: Maandiko Matakatifu Wakamleta kwa Mafarisayo yule mtu aliyekuwa kipofu hapo awali. BIBLIA KISWAHILI Basi wakampeleka kwa Mafarisayo yule aliyekuwa kipofu zamani. |
Na wakuu wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri ya kwamba mtu akimjua alipo, alete habari, ili wapate kumkamata.
Basi Mafarisayo wakasemezana wao kwa wao, Mwaona kwamba hamfai neno lolote; tazameni, ulimwengu umekwenda nyuma yake.
Lakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri, wasije wakatengwa na sinagogi.