Yohana 9:12 - Swahili Revised Union Version Wakamwambia, Yuko wapi huyo? Akasema, Mimi sijui. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!” Biblia Habari Njema - BHND Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!” Neno: Bibilia Takatifu Wale wakamuuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.” Neno: Maandiko Matakatifu Wale wakamuuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.” BIBLIA KISWAHILI Wakamwambia, Yuko wapi huyo? Akasema, Mimi sijui. |
Yeye akajibu, Mtu yule aitwaye Yesu alifanya tope, akanipaka macho akaniambia, Nenda Siloamu ukanawe; basi nikaenda na kunawa, nikapata kuona.