Yohana 7:11 - Swahili Revised Union Version11 Basi Wayahudi wakamtafuta kwenye sikukuu, wakasema, Yuko wapi yule? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza, “Yuko wapi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wayahudi walikuwa wakimtafuta huko kwenye Sikukuu na kuulizana, “Yuko wapi huyu mtu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Basi Wayahudi wakamtafuta kwenye sikukuu, wakasema, Yuko wapi yule? Tazama sura |