kisha kuhani atatwaa maji matakatifu katika chombo cha udongo; kisha kuhani atatwaa katika vumbi lililo pale chini ya maskani, na kulitia katika hayo maji;
Yohana 8:8 - Swahili Revised Union Version Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika ardhi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akainama tena, akawa anaandika ardhini. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akainama tena, akawa anaandika ardhini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akainama tena, akawa anaandika ardhini. Neno: Bibilia Takatifu Akainama tena na kuandika ardhini. Neno: Maandiko Matakatifu Akainama tena na kuandika ardhini. BIBLIA KISWAHILI Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika ardhi. |
kisha kuhani atatwaa maji matakatifu katika chombo cha udongo; kisha kuhani atatwaa katika vumbi lililo pale chini ya maskani, na kulitia katika hayo maji;
Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.