Kwa hiyo akamwambia Abrahamu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
Yohana 8:35 - Swahili Revised Union Version Wala mtumwa hakai nyumbani sikuzote; mwana hukaa sikuzote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu. Biblia Habari Njema - BHND Mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtumwa hana makao ya kudumu nyumbani, lakini mwana anayo makao ya kudumu. Neno: Bibilia Takatifu Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima. Neno: Maandiko Matakatifu Mtumwa hakai nyumbani anakotumika siku zote, lakini mwana hukaa nyumbani daima. BIBLIA KISWAHILI Wala mtumwa hakai nyumbani siku zote; mwana hukaa siku zote. |
Kwa hiyo akamwambia Abrahamu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
Bali akimpa mmoja wa watumishi wake baadhi ya urithi wake, itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuacha huru; ndipo itakapomrudia mkuu; lakini urithi wake, huo utakuwa wa wanawe.