Yohana 8:30 - Swahili Revised Union Version Naye alipokuwa akisema hayo, wengi walimwamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kusema hayo watu wengi walimwamini. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kusema hayo watu wengi walimwamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kusema hayo watu wengi walimwamini. Neno: Bibilia Takatifu Wengi waliomsikia Isa akisema maneno haya wakamwamini. Neno: Maandiko Matakatifu Wengi waliomsikia Isa akisema maneno haya wakamwamini. BIBLIA KISWAHILI Naye alipokuwa akisema hayo, wengi walimwamini. |
Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.
Hata alipokuwapo Yerusalemu kwenye sikukuu wakati wa Pasaka, watu wengi waliamini jina lake, walipoziona ishara zake alizozifanya.
Basi watu wale, walipoiona ishara aliyoifanya, walisema, Hakika huyu ni nabii yule ajaye ulimwenguni.
Na watu wengi katika mkutano wakamwamini; wakasema, Atakapokuja Kristo, je! Atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu?