Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye.
Yohana 7:5 - Swahili Revised Union Version Maana hata nduguze hawakumwamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema (Hata ndugu zake hawakumwamini). Biblia Habari Njema - BHND (Hata ndugu zake hawakumwamini). Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza (Hata ndugu zake hawakumwamini). Neno: Bibilia Takatifu Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini. Neno: Maandiko Matakatifu Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini. BIBLIA KISWAHILI Maana hata nduguze hawakumwamini. |
Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye.
Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
Hata ndugu zake walipokwisha kupanda kuiendea sikukuu, ndipo yeye naye alipopanda, si kwa wazi bali kana kwamba kwa siri.
Basi ndugu zake wakamwambia, Ondoka hapa, uende Yudea, wanafunzi wako nao wapate kuzitazama kazi zako unazozifanya.
Kwa maana hakuna mtu afanyaye mambo kwa siri, naye yeye mwenyewe anataka kujulikana. Ukifanya mambo haya, basi jidhihirishe kwa ulimwengu.