Yohana 7:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi ndugu zake wakamwambia, Ondoka hapa, uende Yudea, wanafunzi wako nao wapate kuzitazama kazi zako unazozifanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, ndugu zake wakamwambia, “Ondoka hapa uende Yudea ili wanafunzi wako wazione kazi unazozifanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, ndugu zake wakamwambia, “Ondoka hapa uende Yudea ili wanafunzi wako wazione kazi unazozifanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, ndugu zake wakamwambia, “Ondoka hapa uende Yudea ili wanafunzi wako wazione kazi unazozifanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hivyo ndugu zake Isa wakamwambia, “Ondoka hapa uende Yudea ili wanafunzi Wako wapate kuona miujiza unayofanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hivyo ndugu zake Isa wakamwambia, “Ondoka hapa uende Uyahudi ili wanafunzi Wako wapate kuona miujiza unayofanya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi ndugu zake wakamwambia, Ondoka hapa, uende Yudea, wanafunzi wako nao wapate kuzitazama kazi zako unazozifanya. Tazama sura |