Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yohana 7:6 - Swahili Revised Union Version

6 Basi Yesu akawaambia, Wakati wangu haujafika bado; ila wakati wenu sikuzote upo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Basi, Yesu akawaambia, “Wakati wangu ufaao haujafika bado. Lakini kwenu nyinyi kila wakati unafaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Basi, Yesu akawaambia, “Wakati wangu ufaao haujafika bado. Lakini kwenu nyinyi kila wakati unafaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Basi, Yesu akawaambia, “Wakati wangu ufaao haujafika bado. Lakini kwenu nyinyi kila wakati unafaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Isa akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Isa akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Basi Yesu akawaambia, Wakati wangu haujafika bado; ila wakati wenu siku zote upo.

Tazama sura Nakili




Yohana 7:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wewe mwenyewe utasimama, Na kuirehemu Sayuni, Kwa maana ndio wakati wa kuihurumia, Naam, majira yaliyoamriwa yamewadia.


Akasema, Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu asema, Majira yangu ni karibu; kwako nitafanya Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.


Basi, kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu, huku akijua ya kuwa saa yake imefika, atakayotoka katika ulimwengu kwenda kwa Baba, naye akiwa amewapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapenda upeo.


Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;


Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia.


Basi wakatafuta kumkamata; lakini hakuna mtu aliyeunyosha mkono wake ili kumshika, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.


Pandeni ninyi kwenda kula sikukuu; mimi sipandi bado kwenda kula sikukuu hii, kwa kuwa wakati wangu haujatimia.


Maneno hayo aliyasema alipokuwa akifundisha hekaluni, katika chumba cha hazina; wala hakuna mtu aliyemkamata, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.


Akawaambia, Si kazi yenu kujua nyakati wala majira, Baba aliyoyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo