Wakamshuhudia wote, wakiyastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake, wakasema, Huyu siye mwana wa Yusufu?
Yohana 7:46 - Swahili Revised Union Version Wale watumishi wakajibu. Hajanena kamwe mtu yeyote kama huyu anavyonena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!” Biblia Habari Njema - BHND Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!” Neno: Bibilia Takatifu Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.” Neno: Maandiko Matakatifu Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.” BIBLIA KISWAHILI Wale watumishi wakajibu. Hajanena kamwe mtu yeyote kama huyu anavyonena. |
Wakamshuhudia wote, wakiyastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake, wakasema, Huyu siye mwana wa Yusufu?
Na kumbe! Anena waziwazi, wala hawamwambii neno! Inawezekana hao wakuu wanajua hakika ya kuwa huyu ndiye Kristo?
Mafarisayo wakawasikia mkutano wakinung'unika hivi juu yake; basi wakuu wa makuhani na Mafarisayo wakatuma watumishi ili wamkamate.