Yohana 6:34 - Swahili Revised Union Version Basi wakamwambia, Bwana, sikuzote utupe chakula hiki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakamwambia, “Bwana, tupe daima mkate huo.” Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakamwambia, “Bwana, tupe daima mkate huo.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakamwambia, “Bwana, tupe daima mkate huo.” Neno: Bibilia Takatifu Wakamwambia, “Bwana, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamwambia, “Bwana Isa, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.” BIBLIA KISWAHILI Basi wakamwambia, Bwana, siku zote utupe chakula hiki. |
Yesu akawajibu, akasema, Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.