Yohana 6:34 - Swahili Revised Union Version34 Basi wakamwambia, Bwana, sikuzote utupe chakula hiki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Basi, wakamwambia, “Bwana, tupe daima mkate huo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Basi, wakamwambia, “Bwana, tupe daima mkate huo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Basi, wakamwambia, “Bwana, tupe daima mkate huo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Wakamwambia, “Bwana, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Wakamwambia, “Bwana Isa, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Basi wakamwambia, Bwana, siku zote utupe chakula hiki. Tazama sura |