Na kulipokuwa jioni mashua ilikuwa katikati ya bahari, na yeye yu peke yake katika nchi kavu.
Yohana 6:16 - Swahili Revised Union Version Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakateremka baharini Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani, Biblia Habari Njema - BHND Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani, Neno: Bibilia Takatifu Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini. Neno: Maandiko Matakatifu Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini. BIBLIA KISWAHILI Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakateremka baharini |
Na kulipokuwa jioni mashua ilikuwa katikati ya bahari, na yeye yu peke yake katika nchi kavu.
wakapanda katika mashua, wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaumu. Nako kumekwisha kuwa giza, wala Yesu hajawafikia.