Yohana 5:47 - Swahili Revised Union Version Lakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaamini maneno yangu vipi? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?” Biblia Habari Njema - BHND Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?” Neno: Bibilia Takatifu Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Musa, mtaaminije ninayoyasema?” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Musa, mtaaminije ninayoyasema?” BIBLIA KISWAHILI Lakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaamini maneno yangu vipi? |
Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishika hata mtu akifufuka katika wafu.
na ya kuwa tangu utotoni umeyajua Maandiko Matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu.