Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yohana 5:47 - Swahili Revised Union Version

47 Lakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaamini maneno yangu vipi?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Lakini hamyaamini yale aliyoandika; mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Musa, mtaaminije ninayoyasema?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Musa, mtaaminije ninayoyasema?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

47 Lakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaamini maneno yangu vipi?

Tazama sura Nakili

Yohana 5:47
3 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.

Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishika hata mtu akifufuka katika wafu.

na ya kuwa tangu utotoni umeyajua Maandiko Matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo