Na kulipokucha aliwaita wanafunzi wake; akachagua kumi na wawili miongoni mwao, ambao aliwaita mitume;
Yohana 4:33 - Swahili Revised Union Version Basi wanafunzi wake wakasemezana, Je! Mtu amemletea chakula? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wake wakaulizana, “Je, kuna mtu aliyemletea chakula?” Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wake wakaulizana, “Je, kuna mtu aliyemletea chakula?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wake wakaulizana, “Je, kuna mtu aliyemletea chakula?” Neno: Bibilia Takatifu Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?” Neno: Maandiko Matakatifu Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?” BIBLIA KISWAHILI Basi wanafunzi wake wakasemezana, Je! Mtu amemletea chakula? |
Na kulipokucha aliwaita wanafunzi wake; akachagua kumi na wawili miongoni mwao, ambao aliwaita mitume;
Lakini hawakulifahamu neno lile, likafichwa kwao wasilitambue; wakaogopa kumwuliza maana yake neno lile.
Andrea, nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliomsikia Yohana na kumfuata Yesu.