Yohana 4:2 - Swahili Revised Union Version (lakini Yesu mwenyewe hakubatiza, bali wanafunzi wake) Matoleo zaidiBiblia Habari Njema (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Biblia Habari Njema - BHND (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Neno: Bibilia Takatifu ingawa kwa kweli si Isa mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. Neno: Maandiko Matakatifu ingawa kwa kweli si Isa mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. BIBLIA KISWAHILI (lakini Yesu mwenyewe hakubatiza, bali wanafunzi wake) |
Baada ya hayo Yesu na wanafunzi wake walikwenda mpaka katika nchi ya Yudea; akashinda huko pamoja nao, akabatiza.
Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya Yordani, yeye uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea.