Yohana 4:17 - Swahili Revised Union Version Yule mwanamke akajibu, akasema, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume. Biblia Habari Njema - BHND Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume. Neno: Bibilia Takatifu Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Isa akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. Neno: Maandiko Matakatifu Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Isa akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. BIBLIA KISWAHILI Yule mwanamke akajibu, akasema, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; |
kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.
Njoni, mtazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! Inawezekana kuwa huyu ndiye Kristo?
Vema. Yalikatwa kwa kutoamini kwao, na wewe wasimama kwa imani yako. Usijivune, bali uogope.