Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe).
Yohana 4:16 - Swahili Revised Union Version Yesu akamwambia, Nenda kamwite mumeo, uje naye hapa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.” BIBLIA KISWAHILI Yesu akamwambia, Nenda kamwite mumeo, uje naye hapa. |
Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe).
Akamwambia mara ya tatu, Simoni wa Yohana, wanipenda? Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu, Wanipenda? Akamwambia, Bwana, wewe wajua yote; wewe umetambua ya kuwa nakupenda. Yesu akamwambia, Lisha kondoo wangu.
kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.
Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, maana vitu vyote ni tupu na kuwekwa wazi machoni pake yeye ambaye tunapaswa kuwajibika kwake.
nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye fikira na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.