Mapenzi yao na chuki yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lolote lililofanyika chini ya jua.
Yohana 2:8 - Swahili Revised Union Version Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa sherehe. Wakapeleka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Biblia Habari Njema - BHND Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Neno: Bibilia Takatifu Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo; mpelekeeni mkuu wa sherehe.” Hivyo wakachota, wakampelekea. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo, mpelekeeni mkuu wa meza.” Hivyo wakachota, wakampelekea. BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa sherehe. Wakapeleka. |
Mapenzi yao na chuki yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lolote lililofanyika chini ya jua.
Naye mkuu wa sherehe alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa sherehe alimwita bwana arusi,
Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.