Mungu Mwenyezi na awape rehema usoni pa mtu yule ili awafungulie ndugu yenu huyo mwingine, na Benyamini. Nami nikifiwa na watoto wangu, nimefiwa.
Yohana 19:22 - Swahili Revised Union Version Pilato akajibu, Niliyoandika nimeyaandika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pilato akajibu, “Niliyoandika, nimeandika!” Biblia Habari Njema - BHND Pilato akajibu, “Niliyoandika, nimeandika!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pilato akajibu, “Niliyoandika, nimeandika!” Neno: Bibilia Takatifu Pilato akawajibu, “Nilichokwisha kuandika, nimeandika!” Neno: Maandiko Matakatifu Pilato akawajibu, “Nilichokwisha kuandika, nimeandika!” BIBLIA KISWAHILI Pilato akajibu, Niliyoandika nimeyaandika. |
Mungu Mwenyezi na awape rehema usoni pa mtu yule ili awafungulie ndugu yenu huyo mwingine, na Benyamini. Nami nikifiwa na watoto wangu, nimefiwa.
Nenda ukawakusanye Wayahudi wote waliopo hapa Susa, mkafunge kwa ajili yangu; msile wala kunywa muda wa siku tatu, usiku wala mchana, nami na wajakazi wangu tutafunga vile vile; kisha nitaingia kwa mfalme, kinyume cha sheria; nami nikiangamia, na niangamie.
Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;
Na tangu hapo Pilato akatafuta kumfungua; lakini Wayahudi wakapiga makelele wakisema, Ukimfungua huyu, wewe si rafiki yake Kaisari; kila mtu ajifanyaye kuwa mfalme humfitini Kaisari.