Yesu akamwambia, Yeye aliyekwisha kuoga mwili hana haja ila ya kuosha miguu, maana yu safi mwili wote; nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote.
Yohana 15:3 - Swahili Revised Union Version Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Biblia Habari Njema - BHND Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Neno: Bibilia Takatifu Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. Neno: Maandiko Matakatifu Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. BIBLIA KISWAHILI Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. |
Yesu akamwambia, Yeye aliyekwisha kuoga mwili hana haja ila ya kuosha miguu, maana yu safi mwili wote; nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote.
Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo safi.