Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwanapunda, mtoto wa punda.
Yohana 12:14 - Swahili Revised Union Version Naye Yesu alikuwa amepata mwanapunda, akampanda, kama vile iliyoandikwa, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akampata mwanapunda mmoja, akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko: Biblia Habari Njema - BHND Yesu akampata mwanapunda mmoja, akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akampata mwanapunda mmoja, akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko: Neno: Bibilia Takatifu Isa akamkuta mwana-punda, akampanda, kama ilivyoandikwa, Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamkuta mwana-punda akampanda, kama ilivyoandikwa, BIBLIA KISWAHILI Naye Yesu alikuwa amepata mwanapunda, akampanda, kama vile ilivyoandikwa, |
Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwanapunda, mtoto wa punda.
wakatwaa matawi ya mitende, wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, Hosana! Ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!