Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, majusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,
Yohana 11:7 - Swahili Revised Union Version Kisha, baada ya hayo, akawaambia wanafunzi wake, Twendeni Yudea tena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Biblia Habari Njema - BHND Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Yudea.” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.” BIBLIA KISWAHILI Kisha, baada ya hayo, akawaambia wanafunzi wake, Twendeni Yudea tena. |
Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, majusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,
Ikawa, siku za kupaa kwake zilipokuwa karibu kutimia, yeye aliuelekeza uso wake kwenda Yerusalemu;
Baada ya siku kadhaa Paulo akamwambia Barnaba, Haya! Turejee sasa tukawaangalie hao ndugu katika kila mji tulipolihubiri neno la Bwana, wako hali gani.