na watu wengi katika Wayahudi walikuwa wamekuja kwa Martha na Mariamu, ili kuwafariji kwa ajili ya ndugu yao.
Yohana 11:36 - Swahili Revised Union Version Basi Wayahudi wakasema, Angalieni jinsi alivyompenda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Wayahudi wakasema, “Tazameni jinsi alivyompenda!” Biblia Habari Njema - BHND Basi, Wayahudi wakasema, “Tazameni jinsi alivyompenda!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Wayahudi wakasema, “Tazameni jinsi alivyompenda!” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!” BIBLIA KISWAHILI Basi Wayahudi wakasema, Angalieni jinsi alivyompenda. |
na watu wengi katika Wayahudi walikuwa wamekuja kwa Martha na Mariamu, ili kuwafariji kwa ajili ya ndugu yao.
mkaende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato.
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.
tena zitokazo kwa Yesu Kristo, shahidi aliye mwaminifu, mzaliwa wa kwanza wa waliokufa, na mkuu wa wafalme wa dunia. Yeye atupendaye na kutuosha dhambi zetu katika damu yake,