Yohana 11:12 - Swahili Revised Union Version Basi wale wanafunzi wakamwambia, Bwana, ikiwa amelala, atapona. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, ikiwa amelala, basi atapona.” Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, ikiwa amelala, basi atapona.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, ikiwa amelala, basi atapona.” Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.” Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi wakamwambia, “Bwana Isa, kama amelala usingizi ataamka.” BIBLIA KISWAHILI Basi wale wanafunzi wakamwambia, Bwana, ikiwa amelala, atapona. |
Aliyasema hayo; kisha, baada ya hayo, akawaambia, Rafiki yetu, Lazaro, amelala; lakini ninakwenda nipate kumwamsha.
Lakini Yesu alikuwa amenena habari ya mauti yake; nao walidhania ya kuwa ananena habari ya kulala usingizi.