Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu.
Yohana 10:17 - Swahili Revised Union Version Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena. Biblia Habari Njema - BHND “Baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena. Neno: Bibilia Takatifu Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. Neno: Maandiko Matakatifu Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. BIBLIA KISWAHILI Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. |
Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu.
kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.
Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nililipokea kwa Baba yangu.
Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
ila twamwona yeye aliyefanywa mdogo kwa muda kuliko malaika, yaani, Yesu, kwa sababu ya maumivu ya mauti, amevikwa taji la utukufu na heshima, ili kwa neema ya Mungu aionje mauti kwa ajili ya kila mtu.