Yobu 26:3 - Swahili Revised Union Version Jinsi ulivyomshauri huyo asiye na hekima! Na kutangaza ujuzi wa kweli kwa wingi! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jinsi gani ulivyomshauri asiye na hekima, na kumshirikisha ujuzi wako! Biblia Habari Njema - BHND Jinsi gani ulivyomshauri asiye na hekima, na kumshirikisha ujuzi wako! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jinsi gani ulivyomshauri asiye na hekima, na kumshirikisha ujuzi wako! Neno: Bibilia Takatifu Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonesha! Neno: Maandiko Matakatifu Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? Nayo ni busara gani kubwa uliyoonyesha! BIBLIA KISWAHILI Jinsi ulivyomshauri huyo asiye na hekima! Na kutangaza ujuzi wa kweli kwa wingi! |
Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo?
Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.
ya kuwa sikujiepusha katika kuwatangazia neno lolote liwezalo kuwafaa bali niliwafundisha waziwazi, na nyumba kwa nyumba,