Yobu 26:2 - Swahili Revised Union Version2 Jinsi ulivyomsaidia huyo asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono usio na nguvu! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Aa! Jinsi gani ulivyomsaidia asiye na uwezo! Jinsi gani ulivyomwokoa asiye na nguvu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Aa! Jinsi gani ulivyomsaidia asiye na uwezo! Jinsi gani ulivyomwokoa asiye na nguvu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Aa! Jinsi gani ulivyomsaidia asiye na uwezo! Jinsi gani ulivyomwokoa asiye na nguvu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono ulio dhaifu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono ulio dhaifu! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Jinsi ulivyomsaidia huyo asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono usio na nguvu! Tazama sura |