Ikawa, wakati wa adhuhuri, Eliya akawafanyia dhihaka, akasema, Mwiteni kwa sauti kuu; maana ni mungu huyo; labda anazungumza, au ana shughuli, au anasafiri, au labda amelala, sharti aamshwe.
Yobu 26:2 - Swahili Revised Union Version Jinsi ulivyomsaidia huyo asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono usio na nguvu! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Aa! Jinsi gani ulivyomsaidia asiye na uwezo! Jinsi gani ulivyomwokoa asiye na nguvu! Biblia Habari Njema - BHND “Aa! Jinsi gani ulivyomsaidia asiye na uwezo! Jinsi gani ulivyomwokoa asiye na nguvu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Aa! Jinsi gani ulivyomsaidia asiye na uwezo! Jinsi gani ulivyomwokoa asiye na nguvu! Neno: Bibilia Takatifu “Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono ulio dhaifu! Neno: Maandiko Matakatifu “Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono ulio dhaifu! BIBLIA KISWAHILI Jinsi ulivyomsaidia huyo asiye na uwezo! Jinsi ulivyouokoa mkono usio na nguvu! |
Ikawa, wakati wa adhuhuri, Eliya akawafanyia dhihaka, akasema, Mwiteni kwa sauti kuu; maana ni mungu huyo; labda anazungumza, au ana shughuli, au anasafiri, au labda amelala, sharti aamshwe.
Alifanya shauri na nani, ni nani aliyemwelimisha na kumfunza njia ya hukumu, na kumfunza maarifa, na kumwonesha njia ya fahamu?