Yobu 6:12 - Swahili Revised Union Version12 Je! Nguvu zangu ni nguvu za mawe? Au mwili wangu, je! Ni shaba? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Je, nguvu zangu ni kama za mawe? Au mwili wangu kama shaba? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Je, nguvu zangu ni kama za mawe? Au mwili wangu kama shaba? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Je, nguvu zangu ni kama za mawe? Au mwili wangu kama shaba? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Je, mimi nina nguvu za jiwe? Je, mwili wangu ni shaba? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Je, mimi nina nguvu za jiwe? Je, mwili wangu ni shaba? Tazama sura |