Tena akiwa na umri wa miaka mitano hata umri wa miaka ishirini, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli ishirini kwa mwanamume, na shekeli kumi kwa mwanamke.
Walawi 27:6 - Swahili Revised Union Version Tena akiwa na umri wa mwezi mmoja hadi miaka mitano, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli tano za fedha kwa mwanamume na shekeli tatu za fedha kwa mwanamke. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana. Biblia Habari Njema - BHND Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana. Neno: Bibilia Takatifu Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu za fedha. Neno: Maandiko Matakatifu Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu za fedha. BIBLIA KISWAHILI Tena akiwa na umri wa mwezi mmoja hadi miaka mitano, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli tano za fedha kwa mwanamume na shekeli tatu za fedha kwa mwanamke. |
Tena akiwa na umri wa miaka mitano hata umri wa miaka ishirini, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli ishirini kwa mwanamume, na shekeli kumi kwa mwanamke.
Tena akiwa na umri wa miaka sitini na kuzidi; kama ni mwanamume, hesabu yako itakuwa shekeli kumi na tano, na kwa mwanamke shekeli kumi.
utatwaa shekeli tano kwa kichwa cha kila mtu kwa hiyo shekeli ya mahali patakatifu (shekeli ni gera ishirini);