Walawi 27:6 - Swahili Revised Union Version6 Tena akiwa na umri wa mwezi mmoja hadi miaka mitano, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli tano za fedha kwa mwanamume na shekeli tatu za fedha kwa mwanamke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ikiwa ni mtoto wa umri wa kati ya mwezi mmoja na miaka mitano atakombolewa kwa shekeli 5 za fedha kama ni mvulana na shekeli 3 za fedha kama ni msichana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu za fedha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu za fedha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Tena akiwa na umri wa mwezi mmoja hadi miaka mitano, ndipo hesabu yako itakuwa shekeli tano za fedha kwa mwanamume na shekeli tatu za fedha kwa mwanamke. Tazama sura |