na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo.
Walawi 21:4 - Swahili Revised Union Version Asijitie unajisi, ijapokuwa ni mkubwa katika watu wake, hata akajinajisi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijitie unajisi. Biblia Habari Njema - BHND Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijitie unajisi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijitie unajisi. Neno: Bibilia Takatifu Kamwe asijitie unajisi mwenyewe kutokana na wale watu ambao anahusiana nao kwa kuoana, na hivyo kujitia unajisi. Neno: Maandiko Matakatifu Kamwe asijitie unajisi mwenyewe kutokana na wale watu ambao anahusiana nao kwa kuoana, na hivyo kujitia unajisi. BIBLIA KISWAHILI Asijitie unajisi, ijapokuwa ni mkubwa katika watu wake, hata akajinajisi. |
na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo.
Wasijifanyie upara kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala wasichanje tojo katika miili yao.