Walawi 13:41 - Swahili Revised Union Version Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upara wa kipaji; ni safi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Biblia Habari Njema - BHND Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Neno: Bibilia Takatifu Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upara kwenye paji, ni safi. Neno: Maandiko Matakatifu Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upaa tangu kwenye paji, ni safi. BIBLIA KISWAHILI Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upara wa kipaji; ni safi. |
Lakini kwamba katika kile kichwa kilicho na upara, au kile kipaji kilicho na upara, laonekana pigo jeupe kisha jekundu kidogo; ni ukoma, unatokea katika kichwa chake cha upara, au katika kipaji chake cha upara.